Skip to content
View Frank-22-source's full-sized avatar

Block or report Frank-22-source

Block user

Prevent this user from interacting with your repositories and sending you notifications. Learn more about blocking users.

You must be logged in to block users.

Maximum 250 characters. Please don’t include any personal information such as legal names or email addresses. Markdown is supported. This note will only be visible to you.
Report abuse

Contact GitHub support about this user’s behavior. Learn more about reporting abuse.

Report abuse
Frank-22-source/README.md

πŸ‘‹ Habari! Naitwa Frank

Mimi ni mwanafunzi wa Information and Communication Technology (ICT) niliyejikita zaidi kwenye masuala ya Full-Stack Web Development, Mifumo ya Usimamizi, na Usalama wa Mifumo (Cybersecurity). Napenda kutumia mifumo thabiti ya kidijitali kutatua changamoto za kijamii na kibiashara mtaani.


πŸš€ Miradi Niliyofanya (My Projects)

Hapa ni baadhi ya kazi zangu kubwa ninazofanyia kazi kwenye akaunti hii:

  • Constitution Awareness Chatbot - Mfumo wa elimu ya katiba kwa wananchi wa Tanzania kwa kutumia chatbot ya Kiswahili fasaha.
  • Staff Permission System - Mfumo wa kidijitali wa kurahisisha maombi na usimamizi wa ruhusa kwa wafanyakazi maofisini.
  • Frank Hardware Hub POS - Mfumo wa kompyuta (Desktop Simulation) wa usimamizi wa mauzo na stoo kwa ajili ya duka la ujenzi lililopo Mpemba.

πŸ’» Ujuzi Wangu wa Kiteknolojia (Tech Stack)

  • Lugha & Scripting: HTML5, CSS3, JavaScript (ES6), PHP.
  • Database Management: MySQL.
  • Zana za Kazi (Tools): Git, GitHub, VS Code, XAMPP, VirtualBox Linux Servers.

🎯 Malengo na Falsafa Yangu

Naamini katika mifumo yenye Kasi na Focus (kama falsafa ya akina McDonald) na yenye Accuracy ya hali ya juu. Lengo langu ni kuendelea kujenga mifumo salama inayorahisisha maisha ya kila siku na kuleta tija kwenye sekta ya biashara na elimu.

πŸ“Š "Systems thinking and focus deliver true impact."

Popular repositories Loading

  1. Frank Frank Public

  2. Frank11 Frank11 Public

    Config files for my GitHub profile.

  3. Web-development- Web-development- Public

  4. IPT2025 IPT2025 Public

  5. PRESIDENTIAL-VOTING-SYSTEM PRESIDENTIAL-VOTING-SYSTEM Public

    This lanbding page is specifically designed for electronic devices.

  6. first-contributions first-contributions Public

    Forked from firstcontributions/first-contributions

    πŸš€βœ¨ Help beginners to contribute to open source projects